background img

The New Stuff

Rihanna azidiwa pombe

Mwimbaji wa Rn'B na Pop wa nchini Marekani ambaye anazidi kushika chat 'Rihanna' ameonekana kuwaangusha walinzi wake kwa kile alichokifanya baada ya kuzidiwa na pombe. Baada ya kuzidiwa na kilevi alionekana akicheza 'Breaking Dance' na kushika watu katika style yaaina yake kutokana na kuongozwa na pombe. Tazama picha.

0 comments:

Popular Posts