background img

The New Stuff

KUTOKA KIJIWENI__ ALAAA!!! KUMBE!!!? PICHA ZA UCHI MASTAA BONGO ZINATUMIKA KUWANASA MA-SHUGA BABA TOWN_ NI NDANI YA KUMI NA NANE NI PENALTI AMA FAULU MHESHIMIWA?__BOFYA HAPA ZEE LIKUJUZE



 NA MWANA KIJIWE
Leo kama kawa nimejichanganya tena kitaa ila leo kishamsi nete mambo yamekaa bigid shida ki winta kinapiga kwa mbali afu kama mgoroli umehusika juu zee nikikatiza barabara moja mbili za town, si unajua chabo chabo kwa waksi ni muhimu mtu wangu wa nguvu.
Basi isiwe kesi waungwana maana ninasikia siku izi baraza la kiswazi linawaka mbaya na ii lugha yetu ya kidigitali.

embu ngoja kwanza nikimbilie upande wapili wa barabara siunawaona hawa ma raida bodaboda haikawii ukasikia Paah!!pum!!pum!!puh!!! Zee chali na wingi wa watu picha zikasambaa instagram fasta maana awana adabu hawa watoto wadogo, janga kubwa afu mtu mzima wakaniuzisha sura.

Tuachane na hayo yote ngoja nipunguze baridi na kahawa apa kwa mpemba nikila kick za Town na wana.
"Mpemba embu nifanyie kimoja chapu nipunguze baridi hapa"Cheki wahayawani wanavyonicheki zee akili zao zimenata kwingine kabisa yani.

Baada ya dakika kama tano ivi huku zengwe maalumu likiendelea kule dom! hapa tunalisikiliza kwenye redio ya mpemba mjumbe anamaindi zile ishu za picha za bayb baby mitandaoni
basi apa anapewa shavu na wazee kama wawili ivi wamemaind kinoma hizo ishu yani tena wanaiita ile Fesbuku yakishetani duh!! awa maustazi nini...?
vijana wote apa ni kimyaa wazee wanalonga extrem pack! leo, "Izi ndo zama zao wazee wenzangu zetu zimepita kitambo"
kavunja ukimya mzee mmoja apa anaonekana mjanja mjanja wenyewe watoto wa town wanawaita majunki Zee nikaona yees!! uyu mzee wa typu yangu uyu ngoja nijivute kati tuchonge naye ii ishu maana zee samtime huwa najiulizaga maswali ila sinaga majibu kabisa
"Mzee shikamop!" nikaona nianze kiivyo mtu wangu "Poa kijana mambo vip..?" Mh!! uyu mzee ama ni mvi kichwani tu! ila fresh_zee nikaprezent mada mezani mshua acha aanze kutiririka ..




Tena akaenda mbali zaidi mzee ana wake watatu na watoto kama sita ivi akani tell yeye huwa anazichukuaga tena zile muvi zakikubwa zile anaziwatch na mamsapu! kuchukua mautundu pale.
mzee kasisitiza kinoma yani eti ndio jando na unyago kidigitali apo mzeeee katisha, Ila no tatizo ndo mshua uyo kitaa ana bonge ya mchina wake ule wanaouitaga high copy wataalamu fulu ma watsAppu!! fecbuku na mazaga kibao akaona isiwe tabu akanichomolea ka siri duh!! kumbe awa wazee ndo wadau wakubwa wa izi mambo mwenyewe anakwambia hivyo zee nimetulia tu namtafakari uyu 'junki'

Asa mzee anakwambia mwenyewe hapo mtaani kwakushapita na watoto kibao wanachuo alaa!! tena kwa izo izo picha zao za ukubwa.
zee nikashituka kidogo nikaona ngoja niwa kachero apa kutaka jua kazitolea wapi uyu junki' ..
mzee kawa mjanja kidogo kanizungusha zungusha ila kumbe anazitoa kwa madogo wa apo apo kitaa wanaosoma na awa ma bi'shosti chuo__si ulisikiaga wale watoto wa chuo maarufu apa Dzm waliopiga picha zao zile asa ndo hao hao! junki kapita nao


katikati ya maongezi kapita mtoto mkali naona ni wale wale wakusoma bla unifomu mzee akapunga demu nae akarudisha na bonge la smile "Baadae kama kawaida bebee!!" uu junki mwendawazimu kweli yani ila Zee nikalipiga lile smile picha ya kichwa chapu!! "huyu mzee hanijui uyu!!" nkajisemea zangu fulu stress apo
nikaona sasa uyu mzee asiniletee kiwingu kwanza kahawa yangu imeisha saa nyingi na mtoto nimemuelewa ngoja nikafanye yangu na hii winta ya leo.
Nkalipia cha mpemba na mimi nikajikataa zangu kufuata toto lile...
Baadae mtu wangu wa nguvu usisahau ku like page yangu ya fasbuku wewe nipige bega apo zee nikitembea ntakuunganisha chapu!! si unajua Zee la kijiwe mtu wa swagga
hahahha!!!! badae Asee nimeshamfikia yule mtoto ngoja niangushe swagga sasa

0 comments:

Popular Posts