background img

The New Stuff

KUTOKA KIJIWENI NI SIMULIZI ZA SHUGA BOY BAADA YA MKE WA BOSI SASA NI KUKU NA YAI LAKE__BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


NA MWANA KIJIWE
Inakuaje mwenetu mwenyewe za kama siku sita hivi zilizopita? unajua ni nini mwenetumwenyewe mzee mzima nilikuwa kwenye michakato Fulani hukoo kitaani yan ni mishe za pesa ndio ziliniweka bize kidogo si unajua tena bila ndinga hapa town hawa watoto wazuri itakua kama sinema tu! na hizo ndinga tutazitoa wapi sasa kama siyo kwa kupiga michakato, kwani nadanganya mwenetu mwenyewe!? mi najua wewe ni mchizi wangu wa nguvu yani Zee nikizingua tu lazima utanichana.

Asa mwenetu si unamkumbuka shuga boy sasa alinipa michakato Zaidi kuhusu mishe zake na maza mwenye hausi yani unaambiwa mwenetu yeye ilikuwa ni kumenyana na waifee wa bosi hadi kama kidizaini walikuwawanatiliwa mashaka na faza mwenyewe yani. Ujue kupita na waifu wa mtu ni bonge ya zigo yani ni very suni mwenetu unaeza miti na sa Godi laivu laivu.

Mwenetu yeye si motto wa kihuni mishe hizo anazijua vilivyo akaona isiwe kesi kubwa unaambiwa akampanga maza mwenye hausi (shuga lake) amfungulie duka town amchizi atelezezake pale homu kuona dogo ana akili shuga kwa nini akatae sasa kumtoa mwenetu mwenyewe, unaambiwa akampigia mchizi mishe mishe za mpunga mrefu si unaelewa tena huyu shuga na yeye ni misheni town kwenye kampuni ya familia ujue si wakitoto huyu

Mchizi ile dei moja akapewa kitu cha milima kumi na mbili umenisoma hapo!/ yani mwenetu akapewa milioni hizo yani fasta fasta bei ya Alteza hiyo mwenetu pale yadi ya Sultani. Kwanza yani mwana hakuamini amini vile kwama kwel ni yeye ndio kapewa ule mzigo naambiwa kwanza siku ile ile akampiga stata za kutosha yani usiku kucha unaambiwa hadi mida ya kumi na moja hivi.

Usishangae sana mwenetu hau kamzi wali du! usiku huku faza mwenye hausi yupo mjengoni, si nilishakwambia mwenetu motto wa kihuni hizo ni ishu ndogo sana unaambiwa faza mwenye hausi alikuwa anachanganyiwa Valiamu zile dawwa za usingizi basi akiuangusha ni mpaka majogoo huku watu wanakula mavituzi tu hadi sebuleni ujue hawa wake samutaimu usipo kuwaunampiga vitu adimu akikutana na mhuni ujue anaeza kuwekea mtu mzima ada kitu cha paka mwekundu!! umenisma hapo mwenetu yani sumu si umeona ee!. Asa faza mwenye hausi aliponea hapo ila kitu cha usingizi kikawa kinamhusu eviri dei ya kuchepuka bi'mwenye hausi.

Unaambiwa bi'mweneye hausi akacheza kama Pele yani akamshauri mzee wa nyumba wampeleke mchizi hata kozi mbili tatu za masuala ya biznes kwani ni mtiifu anaweza wasaidia badae kwenye mishe zao kuliko kumwacha hivyo hivyo ujue faza mwenye hausi ni mzungu taipu yani yeye ishu za kula buku anaga mizenguo yani unaambiwa kashawatoa machizi kibao yani wengine hadi wako mambele huko.

Basi mchizi akapelekwa kozi za biznes mambo flani siunaelewa zile ikawa ndio kama homu kabisa pale yani ni asubuhi anakamilisha mishe zake anazama koleji hivyo hivyo na mwana unaambiwa anao ubongo wa mkulima yani ni fulu kuelewa mambo mshua kwa nini asimkubali mchizi akampiga na mkoko kabisa yani.

Ila ujue shukrani ya punda ni mateke tu mwana akazidi kubofya kizenji bi'mwenye hausi dah! mbaya zaid si unaambiwa faza mwenye hausi akapata mchongo kampuni unaambiwa kubwa ya kusambaza makaa huku kwetu Africa ikabidi azame mbele fasta pale ujerumani yani ikawa ndio fungulia dog kabisa. Yeye anajua ameacha familia sefu tena na msaidizi juu kumbe ndio kauza hausi mazima. Asa mwenetu awaze nini tena yeye si ndio mchunga kondoo wa bosi acha ajinywee maziwa tu!

Ikawa ndio mchezo eviri dei yani wao ni kukunjana kwnye bedi la ndoa shit! huku mwenetu kakamilisha kozi zake si akafunguliwa sasa lile duka pale town unambiwa mwenetu ana mkono mzuri sana wa biznes fasta fasta akaanza michakato yake chini chini kupandisha mijengo homu kwa maza yake ujue mwenetukwao ndio boy mkubwa ana dada kama wawili tena wako sekondari akaona isije kuwa wakaluzi laifu kwa senti Kyumbaunaambiwa akawapeleka skuli za maana madogo wapate edukesheni, si unajua ndio kii tu laifu.

Bi'mwenye hausi unaambiwa hapo kasha data kwa mwenetu kichizi yani na anahudumiwa sawa sawa na mwenetu awaze nini tena kuhusu mume unaambiwa mwenetu pesa hailindi mke aisee hapo ndio mtu mzima nilipata prufu!. Huku skuli zikikaribia kufungwa si unajua maza mwenye hausi ana makidi zake kama watatu hivi nao si watakuja likizo kimchezo chao kinaweza kupungua kozi madogo watawasanukia kama vipi.

Siku zikapita pita madogo wakarudi likizo fulu hapii kumkuta mchizi ujue walishaanza kumuita anko na kweli mwenetu ni anko kweli yani. Bi'mwenye hausi akaona sasa hawa makidi wamerudi kamchezo kitakuwa kinapungua mchana ila usiku unaambiwa ilikuwa ni fulu kubanana yani unaambiwa alikuwa anamng'ang'ania mwenetu kama kibaio vile yani.

Si niliwahi kukwambia juu ya yulebinti mkubwa wa maza mwenye hausi ule aliyeko fomu faivu ile skuli ya mademu pale Morogoro ushaipata ee! ila kama umesahau au kama Zee nimejichanganya basi yule anaitwa Anita yani ni toto flani ana kama futi nne kwenda tano hivi angani waiti afu anabongeya shepu si unajua maza mwenye hausi dizaini kama kwa mbali mwarabu koko asa ukimuona huyu Anita ni dizaini hizo hizo kiuno nini yani fulu kujaliwa.

Dizaini si unajua zile za watoto wa kishua kufungiwa ndani ndio jadi sasa huyu naye yani ni mototo mbichi ukizingatia skuli apiga zagelzi toka anaijua skuli sasa nani angempiga mashine? motto yani yeye anasikiaga kwa rafiki zake tu skuli izo mambo na yeye si akaona siku moja nitajaribu ila wapi sasa hapo ndio akamkumbuka Ankoo! mwenetu Lyimo Kumbe mototo alivyorudi likizo ana mchakato na mwenetu..? ujue si mchezo mwenetu akimsanukia tu huyu mototo aah!! mbona atamwadabisha fasta sana.

Tu bi kontinyu!

Mwenetu tufanye tukutane baadae maana ujue kuna mambo mengi nataka kukupa juu ya hii family ya kishua we ulishawahi kuona kuku analiwa na yai lake kwenye sahani moja..? asa we tulia tu utaona kwa mwenetu mi sininakwambia huyu motto wa kihuni.


0 comments:

Popular Posts