background img

The New Stuff

Ngoma ya MTU FULANI toka kwa Kinega Peenlawyer Swahilioriginal iko kwenye Top 100 za Redio ya Germany Radio Radio TopAFric

Ngoma ya MTU FULANI toka kwa Kinega Peenlawyer Swahilioriginal iko kwenye Top 100 za Redio ya Germany Radio Radio TopAFric ,TOA SUPPORT YAKO kwa kinega Peen lawyer kwenda namba one kwenye chart hizo.!sasa yuko kwenye nafasi nzuri 40 nakitu..!



Sehemu ya ku vote ni kwenye nyota chini ya jina peen lawyer,kuna nyota 5 iclick nyota ya mwisho mkono wa kulia..!then unaweza kupiga kura mara nyingi uwezavyo..!tufanya yetu sasa nenda na kinega...!

http://topafric.com/index.php/muisc/P/66-peter-peen
Nenda kwenye hii page na uclick kwenye button ya ku Rate page ya ngu kwenye website ya Hii redio,,

0 comments:

Popular Posts