KUTOKA MTANDAONI
Jana mjini hapa Musoma hali ilionekana ya huzuni ila ghafla Serengeti Fiesta ilisambaza upendo ulioleta faraja kwa wakazi wa mjini musoma walioondokewa na ndugu zao katika ajali mbaya wiki iliyopita.

Sehemu ya wasanii wakiwa na Mishumaa kuwakumbuka waliofariki katika ajali wiki iliyopita mjini Musoma na pia kama ishara yakuwafariji wahanga wa ajali hiyo
Katika tamasha hilo mishumaa iliwashwa ikiwa ni pamoja na wasanii kutoa sehemu ya malipo yao kuwapelekea wahanga wa ajali hiyo hatua iliyopongezwa na watu wengi
0 comments:
Post a Comment