background img

The New Stuff

BREAKING NEWS___CHADEMA MOSHI WAZUWA TAARUKI__BOFYA HAPA KUJUA KIUNDANI

DURU ZA KISIASA
Baadhi ya wanachama wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Moshi mjini na viunga vyake leo walizua taharuki miongoni mwa wakazi na wafanyabiashara mjini hapo baada yakuonekana wakijaribu kufanya kile kilicho tafsiriwa kama jaribio la maandamano yasiyo rasmi mjini hapo.

Vyombo vyetu vya mawasiliano vilivyo kuwa vikifuatilia sakata hilo viliweza kugundua kuwa waandamanaji hao waliokuwa katika hali ya jaribio lisilo eleweka walianza kukusanyika mapema asubuhi ya leo wakihusisha wanachama kutoka Moshi mjini kata mbali mbali pamoja na viunga vyake Moshi.

0 comments:

Popular Posts