background img

The New Stuff

BREAKING NEWZ!!!.. MECHI KATI YA YANGA NA BIG BULLET KUTOCHEZWA TENA? .... SOMA HAPA!! KUJUA ZAIDI


KUTOKA MITANDAONI
Kwa mujibu wa page ya klabu cha soka Tanzania YANGA mechi ilyokuwa imepangwa kuchezwa kati yo na timu ya BIG BULLET kutochezwa tena kwa mujibu wa waandaaji wa mchezo huo  DRFA wamesema hii ni kutokana na timu hiyo kushindwa kusafiri kuja nchini Tanzania. Jitihada za kutafuta timu nyingine zimeshindikana na klabu imaomba radhi kwausumbufu wowote uliojitokeza na utakao jitokeza

0 comments:

Popular Posts