background img

The New Stuff

HII!! SIO MCHEZO _ JOTI ATAMBA NDANI YA KICHUPA CHA MKALI T-PAIN KUTOKA MAREKANI!!? _BOFYA HAPA!! KUKIONA KCHUPA HICHO

 
Katika video hiyo ya T-pain (One check at a time) anaonekana mtu ambaye kwa takribani asilimia 50 anafanana na mchekeshaji Joti wa Ze comedy.

Pichani ni mtu huyo ambaye kwenye video hiyo anachea kama Dj amekua na muonekano sawa na Joti wa Ze comedy. Embu angalia na wewe uniambie kaa ni yeye mwenyewe Joti

0 comments:

Popular Posts