Ikiwa zimebaki siku mbili kufikia kilele cha safari ya Kili music Tour jijini Dar es salaam, imeripotiwa kuwa patakua hapatoshi pale viwanja vya leaders club kwa kiingilio cha Tsh. 6000 tu! kwani ndani ya nyumba watakuwepo Weusi wakivalisha wenye gere miwani zao, Ay na wakali wengine kibao ndani na nje ya bongo.
Kusanya kila senti zikifika buku 6 tu! tukutane palee Leaders club Dar es salaam ama DZM kikwetu kwetu na Kilimanjaro premium larger
0 comments:
Post a Comment