KUTOKA MTANDAONI
Mwana mziki Diamond platinum hatimaye afungua kuhusu ununu za kumtema bi'dada Wema Sepetu na kutaka kumchumbia Bi'dada Meninah, akiongelea tetesi hizo amesema kuwa tetesi hizo imekuwa zikimshangaza na kumhuzunishakwa kiasi kikubwa na kuongeza kuwa hana mango wakumtema Wema.
Akizidi kuweka mambo wazi Platnum alieleza kuwa kama angekuwa na mahusiano na Meninah asinge ficha angeyaweka mambo wazi na kwa sasa kila mtu anajua kuwa yupo na mpenzi wake mmoja Wema
"Hata ningekuwa nimeachana na Wema ningesema tu why nifiche?" alifafanua Diamond.
Habari za kuwepo kwa mpango wa harusi kati ya Diamond na Meninah mwenyewe Diamond anaamini ni mbinu za kibiashara zinazotumiwa na mahasimu wake kibiashara na kamwe hato bishana na media
blogs·
bongo·
bongoflava·
bongogossip·
bongomedias·
bongomovies·
burudani·
celebrities·
facebook·
magazeti·
mapenzi·
michongo
0 comments:
Post a Comment