background img

The New Stuff

MFAHAMU NANI NI FIESTA SUPER NYOTA DIVA WA MO TOWN 2014







Siamerary Tarimno 'Ice baby'  ambaye aliibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha kumtafuta  Super Nyota Diva's wa Serengeti fiesta, akiimba katika shindano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Aventure Mjini Moshi leo. Hizo ni shamrashamra za tamasha la Serengeti fiesta lililofanyika jumamosi ya tarehe 30/8 kwenye Uwanja wa Majengo Mo Town

0 comments:

Popular Posts