Ikiwa ni moja ya filamu kali za kiswahili inayoelezea maisha halisi ya vijana mitaani Nairobi half life imekuwa gumzo kubwa miongoni mwa vijana Afrika mashariki.
Tahadhari lugha iliyotumika kwa kiasi kikubwa ni yamatusi hivyo sio nzuri kwa watoto kimaadili itafute utaniambia ilivyo kali
Cover photo
Sehemu ya wakali walioigiza katika movie hii
Mastaa wa Nairobi half life kwenye red capet
0 comments:
Post a Comment