background img

The New Stuff

Mchoro wa tamaduni aina ya abstract iliyochora na Monotata

Monotata abstract art
Hii art ilichorwa na jamaa mmoja anaitwa Monotata...alijariribu kuelezea uzuri wa mwana mke pamoja na nguvu na upendo ndani yake..mwamba unaouona ni ishara ya nguvu ya mwana mke..kwenye mwama kuna sura ya mwanaume hii inamaana wamba mwanaume anakuwa jasiri kutokana na uhimara wa mke wake...Katika chuchu kuna milima miwili na kichwani mlima Kilimanjaro hii ni moja kati ya hadithi ya King Solomon's Mines (tafuta kitabu ukisome)kwenye mkono wakulia kuna kitu kama mlima wenye barafu hii ni ishara ya mng'ao wa kazi ya mwana mke katika jamii...Maua mawili ni ishara ya upendo wa mwanamke....chemichemi ya maji ni matokeo ya kazi bora ya mama aleavyo mtoto na njiwa ni mtoto atokanaye na malazi bora ya mama...Nyumba na mti inaonyesha mazingira ya nyumbani ambayo kwa tamaduni za Afrika mama ndiye msimamizi mkuu....NAKUPENDA SANA MAMA....

0 comments:

Post a Comment