RAU UNIT
Hili ni kundi la muziki wa HIPHOP lililoanzishwa na wasanii wa muziki huo kutoka mtaa wa Rau, Moshi mjini.Kundi hili linajumla ya wasanii watatu Bambino,Baraka na Roger chini ya mwamvuli wa mtaa wa Rau.
CHIMBUKO LA RAU UNIT:
Chimbuko la kundi
ni msanii Bambino ambaye ndiye aliyekuja na wazo la kuanzisha kundi la
mziki wa Hiphop RAU mwanzoni kundi lilitambulika kama MASHUJAA il baadae
lilibadili jina na kuitwa RAU UNIT ikiwa ni lengo la
kuitanua Hiphop Rau na kuimiza umoja kwa wasanii wa Hiphop Rau na Moshi
kwa ujumla.
KAZI ZINAZOFANYWA NA KUNDI:
Kundi la RAU UNIT linafanya kazi mbalimbali za muziki kazi hizo ni kama zifuatazvyo;
Kundi linafanya Rapping au mziki wa kufokafoka
Kundi linaandika mashairi ya nyimbo mbalimbali mf. Hiphop,Rnb
Kundi linafundisha uandishi wa mashairi
Kundi linafanya tafiti mbalimbali za kimuziki Tanzania
0 comments:
Post a Comment