Graffiti inaweza kuchukua umbo la sanaa, michoro au maneno. Hatua hii ikifanyika bila ya idhini ya mwenye mali huhesabiwa kama uhuni. Wakati mwingine watu huchora na kuandika jina la mtu au maneno makali. Wakati mwingine huwa kama upingaji wa umma kisiasa.Ona mifano hapa kwenye link
Maana ya graffiti

0 comments:
Post a Comment