HIPHOP DARASA
![]() |
Mmoja kati ya waazilishi wa Team Rau |
Vers 1
…yeah! I get ma boy in the mix!!!,
Naaujua mziki since the day im rap!,
Mitaa imechoka inatoka jasho la ngono,
Watu wazima hadi watoto wanaangalia picha za porno,
Kila siku mitaa inazidi kutoa kisomo,
Ujana siwa mali unao kikomo,
Changamoto zikikuzidi kesho zinageuka somo,
Yoso chukua leso kimbia na ufute jasho,
Kwa spika nasikika nikiwapa somo,
Felling za mitaa zinanipeleka mbino,
Kufikia ninapotaka kwa kudondosha wino,
Pamoja tukipambana mawio hadi machweo,
Follow me!!...
Chorus
Ili ni hiphop darasa aah aah aah
Hili ni hiphop darasa aah aah aah
Ma MC nawaasa aah aah
Vers 2
…braza ananiambia niache mziki,
Nikaze kusoma ananipandisha homa! Homa,
Haiwezekani kuona kipaji kinayayoma,
Umri unasonga najijenga kama mji wa Roma,
Nawaunguza hadi wale wa dodoma,
Sitaitenga mitaa kama wagonjwa wa ukoma,
Sitoacha kuitibu tabibu mpaka watapona,
Ubaya ni ubaya sitolipa kwa wema,
Walizani nitachelewa na fani nimeanza mapema,
Hutaweza nishika mdomo nisiwape ili somo,
Aah hawawezi tena kuhema,
Huu ujio ni harari kilaza kaa tayari!!!..
Chorus
Ili ni hiphop darasa aah aah aah
Hili ni hiphop darasa aah aah aah
Ma MC nawaasa aah aah
Vers 3
…Nawaza na vers ya tatu aisee,
Nawamaliza waasimu aisee,
Wanataka kuona kwenye beat hili ninavyonesa aise,
Kila sehemu kwa mkono huu napapasa,
Kope sijazifunga zikowazi hizi ni pesa aisee,
Nakuondoa wasi wasi aisee,
Killer man ninavyowatesa boda hii bado aise,
Ni mapema bado I see!! so what?,
Rau tunawachoma aisee…
HUU UJIO;
Vers 1
…Ahh!..467sk Dj drop the beat!!!
Mapinduzi ndiyo jadi
Vita kali kama za jihadi
Moyo umegoma PIN code za mapendo,
Nimevua huruma siangalii nyuma
Ma gang wananiambia niendele hivi hivi
Ma flava si mnajua ni
Nawapoteza ngazi kwa ngazi,
Niko cool aise sitaki shazi
Pia ni killer of course
Kunishinda wewe hater hizo ni njozi,
Niko I.C.U nagawa dozi
Kubattle radioni unaweza propose,
467SK ndio namba ya kikosi,
So usinitake uchokozi,
Utasababisha mikosi,
Tukuchinje na kukufanya msosi,
Vaipa za hii zaidi ya nani hii,
Nakushuhulikia mwenyewe siitaji polisi,
Is not easy to do like this
MC unaitaji much tizi exercise…
Chorus
Huuuu ujio mwingine
Level nyingine
Huu ujio ha ha ha
Huu ujio ha ha ah
Vers 2
…wanazidi shangaa wanapagawa,
Huu ujio mwingine ipi nyingine,
Waache tuwabananishe
Kwa tuvyo zicheza hizi mission
Hauwezi utupishe tunapigania kamisheni,
RnB,viduku wanatamani beat liishe
Haaata haiwezekani mpaka tuwamalize,
Naishi hiphop hardcore mazee
Dalect mfokoni hiyo bandama huioni,
Mpole usoni na mapigo moyoni,
Nimejichora ya dragoni
Raia wakasema ni mason
Ninavyozifungua fungua hizo icon,
Vina vimejipanga siyo ndumba,
You see hapa wewe ni mchumba,
Nina Rap na siwezi imba,
Huu mtaa salamu nanguruma zaidi ya samba…
Chorus
Huuuu ujio mwingine
Level nyingine
Huu ujio ha ha ha
Huu ujio ha ha ah
…Acha nimalizie kwa short break ya tatu,
Hii beat naibreak majembe yanasheki,
Airforce ndo kiatu kisu kama mtutu
I warning you kiliza usije subutu..
DIGREE ZA HIPHOP
“...yaaap lazima tuwafundishe
Mitaa kwa rap kwa kipindi tulipo
Sikiliza hapo hapo…”
Chorus
Ooho! Digree za hiphop mtaa
Ooho! Digree za hiphop mtaa
Ooho ha ha ha
Ooho ha ha ha Ooho!
Vers 1
…Navigeta bado bahari hii napita,
Kwenye hii pande middle finger kwa ma hater,
Street kwa rap hiphop bado ni nyota,
Nilipe nisepe kama sheta ha ha ha,
Ni navyo flow naona kila kindo wablow,
Siwashangai wa DZM na UDOM
sitosema..
Bado ma MC wanahema
Kwangu hii ni mapema
Kiingia studio na kurap kwa kusema,
Hiyo sio mbali sana
Ana na ana najua ni du niliyo fundishwa ni do,
Mitaa imekasirika tayari imeshika kisu,
Ninavyo flow sio rekod,
Nazipiga kwa live…
Chorus
Ooho! digree za hiphop mtaa
Ooho! digree za hiphop mtaa
Ooho ha ha ha
Ooho ha ha ha Ooho!
Vers 2
…nakukubali hooo! Ila nakushinda omy,
Hauoni taa za mitaa zinamulika hadi huoni,
Nina peace mitaani skani sionekani,
To do like this haiitaji u hani hani (Ooho!)
Niko nilikoti black na yangu
buti,
Ooh! Rap rap inazidi trap knowledge,
Hadi maofisini wanasikiliza hii track ni collage,
Lyric hazipimiki full ni classic,
Ma boss wa mitaa tuna digree za hiphop,
Push up huu mziki never gives up,
One man stand tunazichapa hadi weekend,
Ooh! Digree za hiphop hawapendi,
Anasa kujivinjari crew siyo bend…
Chorus
Ooho! Digree za hiphop mtaa
Ooho! Digree za hiphop mtaa
Ooho Ha ha ha
Ooho ha ha ha Ooho!
Chorus
…(third chapter) natoka Mo-Town
Naingia studio kurecord,
Hii beat kali kiubishi naiondoa pin cord,
Maisha yanaiamrisha sanaa kuicopy,
Na kasi ya risasi boom kama bomu
Storm na dizasta hiphop ni master,
Na hizi niko fasta street ni rasta,
Flow kama twista hardcore ama
tantwista,
Napiga baro siyo sharo
Kama polisi ni sero upinzani siyo keroo!
Ooho!...
UMEBADILIKA;
Eeeeh eeeh!
…eti nini naomba uniambieee,
Kinachofanya mpaka unikimbie,
Ooh! My bayb eeh! Aaah!,
Umebadilika sijui nini kimekufika,
Naomba unielezee eti kisa nini!?,
Washikaji zangu wananiulizaaa!,
Eti kisa nini…
Umebadilika maa
Ooho! Umebadilikaa aaha
Umebadilikaa
maa!!
Ooho! umebadilika
… Au kisa mi,
Mimi msanii ooh! Tell me!,
Umebadilika aah! Ma bayb,
Eeh!,
Unanipa wakati mgumu,
Ma bayb eeh!! Aaah aaah,
Ma bayb eeh!,...
…Tell what doo!,
Tell me what.. You want!,
Ooo! oo! oooo!,
Tell me what.. you want!
Ooo! Ooooo!..
Umebadilikaa ma bayb eeh!
Umebadilikaa aaha!
Umebadilikaa ma bayb eeh!
NOOOO! NO NO NO Ooo!
Umebadilika ma bayb eehe!
Ma bayb Eeehe!
MCHAKA MCHAKA
Chorus
Mchaka mchaka watu wote mchaka mchaka
Mchaka mchakaviongozi mchaka mchaka
Mchaka mchaka wakulima mchaka mchaka
Mchaka mchaka mambo yote mchaka mchaka
Vers 1
…Eyo mchaka mchaka nataka kujimix na chaka,
Mchaka mchaaka najua ukweli mnataka,
Mchaka mchaka uchumi unaanguka,
Mijini vijini maisha yanaporomoka,
Mchaka mchaka naingia studio niweze toka,
Naiangalia hii mitaa roll niweze moka,
Mchaka mchaka mbino mbinu nazidi chomoka,
Mchaka mchaka soli ya kiatu imechoka,
Nazidi kunesa..kamanda nisipate anguka,
Ni mchaka mchaka mambo yote mchaka mchaka,
Nenda ki mchaka mchaka arifu upate toka,
Mchaka mchaka fungua mlango niweze toka,
Umenifungia kiasi sas natoka kama risasi,
Yaani ni mchaka mchaka hakuna wasi
Mchaka mchaka hii track ni mchaka mchaka…
Chorus
Mchaka mchaka watu wote mchaka mchaka
Mchaka mchaka viongozi mchaka mchaka
Mchaka mchaka wakulima mchaka mchaka
Mchaka mchaka mambo yote mchaka mchaka
Vers 2
…mchaka mchaka wakulima mchaka wanapima,
Kilimo kwanza wanazani bado mapema,
Mchaka mchaka kiongozi hujasimama uwima
Mguu pande mbona bado sijasema,
Mchaka mchaka angalia tusikuwache nyuma,
Hospitali tunauliza vipi kuhusu huduma,
Mchaka mchakahii asali huwezi rina,
Mchaka mchaka bado natiririka na vina,
Natulia kwenye TV pale bungeni naona,
Mchaka mchaka mnajua kitu gani nasema,
Ni mchaka mchaka nafurahi bado nahema,
Mchaka mchaka oooh asante
mama…
Chorus
Mchaka mchaka watu wote mchaka mchaka
Mchaka mchaka vingozi mchaka mchaka
Mchaka mchaka wakulima mchaka mchaka
Mchaka mchaka mambo yote mchaka mchaka
Vers 3
…eyo mchaka mchaka kwa vers kali namaliza,
Haters MC kidizaini nawaumiza,
Mchaka mchaka huu mwendo huwezi kimbiza,
Nasikia fans kwa mbali maswali wanauliza,
Mchaka mchaka wapi wapi hili wazo nimetoa,
Ondoa zote huwezi mwita mke hujamuoa,
Mchaka mchaka Rau unity naitoa,
Mo-Town Kilimanjaro Hiphop naikomboa,
Mchaka mchaka kama jet fighter napita,
N browse web zote facebook na twitter,
Mchaka mchaka ma producer wananiita,
Mchaka mchaka kweli Rau unity inatisha
Writen by Bambino
0 comments:
Post a Comment