Snura amfanyia mwana birthday iliambatana na futari kwa wasanii wa bongo
Msanii wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi jana alimfanyia mwanaye,
Talha Kassimu bethdei ya nguvu iliyoambatana na kufuturisha.
Zoezi hilo lilifanyika nyumbani kwa Snura maeneo ya Mwananyamala ambapo
wasanii mbalimbali walihudhuria kwenye futari na sherehe hiyo ya bethdei ya
mwanaye aliyetimiza miaka mitatu.
0 comments:
Post a Comment