RAU UNIT HISTORY PART 1
RAU UNITY ni kundi lililoanzishwa na msanii wa HIPHOP Rau Bambino akiwa
na wenzake Baraka na Roger wote wanafanya mziki wa HIPHOP
Katika pilika pilika za kuanzishwa kwa kundi hili kulikuwa na vikwazo
vya hapa na pale
ikiwa ni pamoja na kutokuitikiwa na wasanii wengi wa HIPHOP na RnB kama
ilivyotarajiwa.
Kundi hili hushiriki katika matamasha mbalimbali ya kimuziki likiwemo
tamasha la JIONI YA MSANII linalofanyika kila jumamosi ya mwisho wa
mwezi katika kituo cha Mkombozi Moshi mjini hapo ndipo kunapoamua nani
ni gwiji wa HIPHOP Rau na majirani zake wa
Majengo,Kiboriloni,Mawenzi,Soweto na Pasua.
Kundi limejizolea heshima kubwa katika matamasha hayo kutokana na
kazi zake ila bado kundi linaona haitoshi lazima tujipange mwana 2013
tuje kivingine isiwe kama zamani..
0 comments:
Post a Comment