RAU UNITY THE MASHUJAA
Hili ni kundi la muziki wa HIPHOP lililoanzishwa na wasanii wa muziki huo kutoka mtaa wa Rau, Moshi mjini.Kundi hili linajumla ya wasanii watatu Bambino,Baraka na Roger chini ya mwamvuli wa mtaa wa Rau.
CHIMBUKO LA RAU UNITY THE MASHUJAA:
Chimbuko la kundi ni msanii Bambino ambaye ndiye aliyekuja na wazo la kuanzisha kundi la mziki wa Hiphop RAU mwanzoni kundi lilitambulika kama MASHUJAA il baadae lilibadili jina na kuitwa RU UNITY THE MASHUJAA ikiwa ni lengo la kuitanua Hiphop Rau na kuimiza umoja kwa wasanii wa Hiphop Rau na Moshi kwa ujumla.
KAZI ZINAZOFANYWA NA KUNDI:
Kundi la RAU UNITY THE MASHUJAA linafanya kazi mbalimbali za muziki kazi hizo ni kama zifuatazvyo;
Kundi linafanya Rapping au mziki wa kufokafoka
Kundi linaandika mashairi ya nyimbo mbalimbali mf. Hiphop,Rnb
Kundi linafundisha uandishi wa mashairi
Kundi linafanya tafiti mbalimbali za kimuziki Tanzania
0 comments:
Post a Comment