BAADA YA KAJALA SASA AUNT EZEKIEL NAE AJA JUU ATETA KUHUSU WEMA__AUNT AANZA ASUBIRI WEMA AMALIZIE_BOFYA HAPA KAPATA PICHA KAMILI
KUTOKA MTANDAONI
Mwigizaji maarufu Bongo Movie Aunt Ezekiel ampigia chapuo shosti yake Wema Sepetu kuwa anazo sifa za kuwa mke mwema. Akienda mbele zaidi adai kama alivyo yeye (mke mwema) basi na Wema nae ni mke mwema.
0 comments:
Post a Comment