Prosper Shagina ama 'Shagg' kama anavyojulikana kwa wengi ameahidi mambo makubwa ikiwa ni baada yakufanya kazi na Producer Mesen Selekta wa Defatality ya jijini Dar es salaam. Kibao icho kinachoitwa 'Bata Ile laana' amewashirikisha wasanii wawili ambao ni Suma Mnazareti na Shax.
Akiongea na safu hii mara baada yakufanya kazi na producer huyo Shagg alisema sasa ni wakati wake wakuachia ngoma kali na kuoneshania yake yakujari kufuata nyayo za wasanii wawili waliotangulia mbele za haki ama kuwaenzi kwake ambao ni marehemu Mangwear na marehemu Langa waliopata kutamba na vibao vyao kama Mitungi na matawi ya juu
0 comments:
Post a Comment