background img

The New Stuff

WANASEMA MKONGWE NI MKONGWE TU..MSANII Q CHILLA ATISHIA MAISHA YA WASANII WANAOCHIPUKIA KWENYE MUZIKI WA BONGO FLEVA ... BOFYA HAPA KUJUA KILICHOJIRI!!



KUTOKA MTANDAONI
Msanii mkongwe Bongo Q Chilla ameamua kurudi tena kwenye game baada yakuachia kibao matata kinachotishia muziki wa wasanii chipukizi ndani ya fani hiyo. Kibao hicho kinachoenda kwa jina la Nipende Nikupende ambacho amemshirikisha mkongwe mwenzake MB Dog. Q Chilla amaye kwa sasa yupo chini ya QS  Mhonda J Entertainment Apex group of companies wa jijini Dar es salaam.
kibao icho kilichoandaliwa na producer C9 kitakua hewani muda wowote kwanzia saivi

0 comments:

Popular Posts