background img

The New Stuff

HABARI ZA KUACHIWA KWA BABU SEYA NA MWANAYE PAPII KOCHA NI UZUSHI NA UHALIFU MKUBWA KISHERIA__UFAFANUZI WATOLEWA BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI..



 KUTOKA MTANDAONI
Tarifa za kuachiwa kwa Mwanamziki maarufu Babu Seya na Mwanaye Papii kocha wanaotumikia kifungo cha maisha gerezani  zasemekana ni uzushi na umma wa watanzania umeelezwa kukaa mbali na jumbe izo kwa kuepuka kuzisambaza pale wazipatapo kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria.
 Jeshi la polisi limetoa onyo hilo ikiwa ni wiki moja tangu litolewe onyo lingine la kuepuka kutuma jumbe zilizo kinyume na sheria.
Utii wa sheria bila shurti ni nguzo ya amani.

0 comments:

Popular Posts