background img

The New Stuff

HATUWEZI KULA BILA KUPIGA PICHA CHAFU__SABABU ZAELEZWA KUWA NI NYINGI UMAARUFU NA MAADILI VYAWA MIONGONI_BOFYA HAPA KUJIONEA


 Picha chafu kwa wadada zimekuwa fashion Bongo
Pita pita za mtandaonil leozimenipitisha hapa kutaka kujua kwa nini mastaa wa bongo hususa wadada waigizaji kupenda kupiga picha za utupu na kuziweka mitandaoni. Wataalamu mbali mbali wa masuala ya saikolojia wamekuwa wakieleza sababu mbali mbali na moja ya sababu zao ni masuala ya kiuchumi lakini je ni hawa dada zetu wa bongo movie pekee wenye umasikini..? sababu nyingine inayotajwa na wataalamu hao wa saikolojia ni kupenda na kutafuta umaarufu swali linakuja je ni awa dada zetu pekee wanaoutafuta na kuupenda umaarufu..? Wanasaikolojia hao wakaanda mbali zaidi na kutoa sababu ya maadili ila je ni kweli awa dada zetu hawakulelewa kwenye maadili.
 Moja kati ya picha chafu za mwanadada Wema Sepetu mitandaoni
Nimeamua kutafuta baadhi ya watu na taarifa za maisha ya zamani ya baadhi za hawa dada zetu waliokumbwa na jinamizi ili la picha chafu na kugundua kuwa wengi wao wamelelewa tena si kwenye maadili mema bali wanatoka kwenye familia zenye hofu ya Mungu. Bado najaribu kutafuta sababu yakuwafanya hawa dada zetu wawe hvyo sijaipata ila nimekubali kuamini sababu zote zilizotajwa na wanasaikolojia zinaweza kuwa vyanzo kwa hawa dada zetu wa hapa Bongo
Aunt Ezie nae atajwa kuwa kinara wa picha hizo hii ni moja ya picha zake chafu

0 comments:

Popular Posts