HALI YA NDOA KWA JAY DEE MATATANI__AFUNGUKA MTANDAONI "WALKING AWAY FROM TROUBLE"_BOFYA HAPA!! KUJUA ZAIDI
KUTOKA MTANDAONI
Mwanamuziki Judith Wambura maarufu kama Jay Dee inaripotiwa kuwa katika hali ngumu ya kimahusiano na mumewe Gardner Habashi mtangazaji maarufu wa radio ambaye inasemekana amehamia kwa ndug yake akitokea walipokuwa wakiishi na mkewe huyo kimara.
Ingawa siyo mara ya kwanza kwa wawili hao kutengana lakini inaelezwa kuwa hali siyo nzuri kwa sasa baina ya wawili hao.
Akienda mbali zaidi mwanadada Jay Dee ameelezwa kufanya hivi mtandaoni katika ukurasa wake wa Instagram "Walking Away From Trouble"
0 comments:
Post a Comment