background img

The New Stuff

DIAMOND AFUNGUKA MTANDAONI__ASEMA BAADA YA VURUGU ZA UJERUMANI SASA PLATNUM KUFANYA SHOW BUREE MJINI STUTTGART GERMANY__BOFYA HAPA!! KUJUA KULIKONI


Pichani ni Tangazo la show hiyo itakayofanyika sept.20
KUTOKA MTANDAONI
Baada ya kuvurugika kwa show yake yakwanza nchini ujerumani staa uyo wa kibao cha 'My Number 1' ameamua kuwapelekea mashabiki wake wa nchini huko burudani ya buree. Akidhibitisha habari hizo msanii Diamond platnum aliandika kwenye ukurasa wake wa Instagram  alisema;

             “YES!!!! STUTTGART GERMANY!!! on this 20th of September 2014… kiukweli nilisikitishwa sana na kilichotokea last time Stuttgart… lakini baada ya kugundua kuwa pia lilikuwa ni kosa la mtu mwingine na si promotter kama nilivyodhani, yaani Brittis Events… ndipo tulipoamua na kuwaletea Burudani hii Mashabiki zetu pendwa wa Stuttgart….hakikisha ufikapo unapendeza zaidi maana kama ujuavyo safari hii Vyombo vyote vya habari ndani na nje ya nchi vitakuwa pale kwa RedCarpet…. kiingilio ni BUREEEEEE!!!… tafadhariwambie na wenzio wa nchi za karibu…#NORWAY #HOLLAND #SWITZLAND #BELGIUM #SWEEDEN na kadharika!!!!”

0 comments:

Popular Posts