HAYA WEEE!!!! ....BAADA YA KIMYA KIREFU SASA PROFFESA JAY AVUNJA UKIMYA KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA MAMA LISA ..HONGERA BROO! BOFYA HAPA KUJUA ZAIDI
KUTOKA REDIONI
Rapper Proffesa Jay mzee wamitulinga a.k.a tatu chafu anayetamba na kibao chake kipya cha tatu chafu sasa ameamua kuvunja ukimya juu yake na mzazi mwenzake mama Lisa.
akiongea na Soudy katika kipindi cha U Eared !! XxL Clouds Proffesa alikiri kuwa yupo kwenye mahusiano na mzazi mwenzake huyo na kama Mungu akibariki basi ndiye mke mtarajiwa wa rapper huyo mkongwe katika mziki wa kizazi kipya Bongo
0 comments:
Post a Comment