background img

The New Stuff

BREAKING NEWS!!!...BABA WEE TUNUSURU NI MAJONZI MUSOMA NA KWA TAIFA KWA UJUMLA...AJALI MBAYA YAUWA TAKRIBANI WATU WANAOKADIRIWA KUZIDI HAMSINI (50)



Kwa habari zilizotufikia saa hivi mjini Musoma kumetokea ajili mbaya ya mabasi mawili ya abiria  ambayo inakadiriwa kuua watu zaidi ya hamsini (50) maeneo ya sabasaba nje kidogo ya mji wa musoma...Ajali hiyo imehusisha gari kampuni ya Mwanza Coach lenye nambari T736 AWJ ambalo limegongana na basi la kampuni ya J4 Express lenye namba ya usajili T 677 CYC Miili ya marehemu imepelekwa hospitali ya Musoma mjini.
Mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi Amina!

0 comments:

Popular Posts