KATIKA SOKA NAKO MAMBO YAMECHACHAMAA!!! RUNGU ZITO LAWAANGUKIA MAKOCHA TANZANIA...WADAU SOKA WAKASIRISHWA NA VITENDO VYAO SOMA HAPA KUJUA ZAIDI
HABARI ZA REDIONI
Ni baada ya mfululizo wa matokeo mabovu kwa timu za soka nchini Tanzania wadau wawasha moto mpya kwa makocha wazawa na kuwataka wakasome ukocha na sio kuleta janja janja katika mchezo uwo maarufu nchini.
Akichangia hoja katika moja ya vituo maarufu vya habari nchini mmoja a wadau hao alisema wengi wa makocha nchini wamekua wakifanya mambo kwa uzoefu na sio taaluma na kuwataka wakasome kozi za ukocha wa soka
mwingine alisema "tatizo wabongo tunawapapatikia wazungu bila kujua wanafanya nini mpaka wanakua wazuri katika mchezo huo"
Hayo yamekuja ikiwa kozi na mafunzo kwa makocha yanazinduliwa.
0 comments:
Post a Comment