background img

The New Stuff

SIRI YAFICHUKA BONGO MOVIE!!!!..NI BAADA YA DENTI WA CHUO KIKUU KUELEZA NAMNA ALIVYOOMBWA PENZI ILI KUIGIZA MOJA YA FILAMU KALI BONGO...UNATAKA KUJUA NI FILAMU GANI..? NA ALIOMBWA NA NANI BOFYA HAPA KUPATA MKANDA KAMILI...





Moja ya picha za wanadada warembo wanaotumika kuuza filamu sokoni


Mwadada mrembo kutoka moja ya vyuo vikuu apa nchini ameielezea safu ya habari za Town namna alivyoombwa penzi na moja ya wasanii mastaa apa town ili aweze kuigiza katika movie ya staa huyo wa bongo.
"Nilikuwa nikiwasiliana nae facebook na nilimwambia ombi langu kwake la kutafuta njia yakuanza kuigiza, alinambia tukutane nae moja ya hoteli kubwa pale Kariakoo jumapili tulipokutana alinisifia kuwa mimi mzuri na nitauza vizuri movie yake ila baada ya stori ndipo aliniomba penzi kama shukrani yangu kwake, alinisisitizia kwa kuniambia nisione hao waliotoka na wanaendesha magari nikajua ni hivi hivi tu."
Mpaka tunaruka mtandaoni binti huyo ambae ni mrembo sana aligoma kumtaja mhusika na filamu hiyo akihofu kuwa atamtafuta kwani tayari anapajua hadi nyumbani kwao

NB:Picha juu sio halisi

0 comments:

Popular Posts