background img

The New Stuff

KIMENUKA NAIJAAAAAA!!!!.....USILOLIJUA KUHUSU SAKATA LA NDEGE BINAFSI YA DAVIDOO!!



Baada ya msanii Davido kununua ndege binafsi ilisikika minong'ono mbalimbali mingi ya kumsifia na kumtakia mafanikio zaidi uku ikibaki kama kiulizo kwa wasanii wa apa Bongo land...

Ila sasa mambo yamekua si mambo ni baada ya baadhi ya mashabiki wa muziki uko nigeria kudai kua msanii uyo anaonewa wivu na wakongwe waliomtangulia katika game na kuwataka nao wanunue za kwao na sio kumpiga majungu.

0 comments:

Popular Posts