background img

The New Stuff

KUTOKA MAJUUU!!....BEYONCE ASHEHEREKEA MIAKA 33 NDANI YA ZENGWE NA RAPPER JAY Z


Kwenye picha ni mwanadada Beyonce akiwa na mumewe rapper Jay Z pamoja na mwanao Blue Ivy

Mwanadada uyo ambaye pia ni mwanamitindo anasheherekea sikukuu yake yakuzaliwa na kutimiza miaka 33 uku kukiwa na wingu ndani ya uhusiano wake na rapper Jay Z ambaye analalamikiwa kuwa na mchepuko!!!

0 comments:

Popular Posts