background img

The New Stuff

KUTOKA BONGO MOVIE__NYOTA YAWAKA KWA LULU!! SASA YAELEZWA BILLIONEA NDIO ANA MHUDUMIA, KWENYE BONGE LA HAUSI!!__KWA HABARI NA PICHA BOFYA HAPA!!

 

ZA MAGAZETI
Kutoka kunako Bongo Movie sasa ni zamu ya Lulu nyota kuwaka hiyo inaelezwa, Moja ya vyombo vyinavyofanya kazi kwa karibu na Zee La Kijiweni vimeeleza kuwa bi'dada huyo amemteka billionea hapa town na tayari amemweka kwenye mjengo wa maana hapa town.



Moja ya magazeti yaliyo ongelea habari hii.

0 comments:

Popular Posts