KUTOKA MTANDAONI
Bongo movies waja na movie mpya itakayoenda kwa jina la Samaki mchangani ambayo itakuwa sokoni muda wowote kwanzia sasa wenyewe wazungu wanasemaga coming soon!!. Ndani kuna mastaa kibao kama Bicco Mathew, Deborah Dickson na Hassan Kazoa kaa tayari mwana bongo movies
0 comments:
Post a Comment