background img

The New Stuff

KUTOKA KIJIWENI__WADADA WA HUU MGAHAWA TOWN, WAVALIA VIMINI KUWATEGA WATEJA KAZINI__BOFYA HAPA!!! KUONA PICHA ZAO NA SIMULIZI KALI

NA MWANA KIJIWE
Leo ni jumapili nyingine tena mwenetu wale jamaa wa makansani saizi ndio wana prei kwa sa God kuomba mavitu ya hapa na pale iyo iko poa sana. Zee kama kawaida nikasema sio kesi kama nitaenda kuwacheki wanangu wa kijiweni maana nimekuwa hadimu sana siku hizi kama buku tano mfukoni kwa msela.

Pita pita zangu nikaona sio kesi kama nitapitia sehemu flani kupata brekifast kwanza si unajua pale kijiweni sio nyumbani kwa mazazi yani hakuna wakukupa brekifast ki'iivyo, ayo tuyaache ngoja nigonge tii hapa ila karibia mwenetu

Ha!! ha!! hah! si ninajua hutaweza kuja ndio zetu waswahili yani nakukaribisha alafu ukaribie ile kikweli kweli sasa, njemba inakunja sura kinoma noma ogopa sana hiyo. Ila mimi mwanao Zee sinaga hiyo thiori kabisa.

Sasa mtu mzima si nikajichanganya changanya mitaani mpaka nikatokea restaurant moja apa town unaambiwa hii restaurani ndio kitovu cha totozi mitego Zee nikasema yes!!! ngoja ni shuhudi mavituzi ile kisela. Kama kawaida mwendawazimu nikatia maguu kwa mbwembwe zote si unajua mtaji ni dola tu apa town we kuwa nazo tu utaona mavitu yote.

Nikatoa miekundu kama sita hivi mfukoi alafu nikajivunga vunga pale rudisha mfukoni toa tena nikaona hataaa!! ngoja nisimame kabisa nikazamisha mkono mfuko wajuma nikatoa li'walete fulu kunono mwenetu. Apo mdada mhudumu ananichabo tu jabali nikifanya mavitu!! alafu kwa jeurnikatoa kaki moja (elfu tano) nikampa bi mdogo pale.

Chapati na usupu kama desturi mwanao sindiyo najidaigi mfaransa zikaletwa kwenye tebo "kaka karibu" bi'dada akanambia kwani namda basi acha nizianzie fasta. Demu si akadata na mkwanja wangu mfukoni akaona isiwe tabu sana akuarudi zake alipokuwa Zee sina taimu naye kabisa nenge ni nouma mwanangu usiombe.

Dakika kama kumi na tano hivi nimesha klia kila kitu nikasema ngoja nivute pumzi kwanza vijipange pange ndani niko full tabasamu hapo yule b'dada akarudi akachukua vitu vyao pale mezani akajua Zee nitasepa kumbe wapi si ndio akarudi mezani pale akijua lbda kuna ishu nyingine nikamtonya nasubiri vijipange basi akacheka kinoma eti mi mcheshi ila ni gudi hiyo acha avute kiti na yeye tupige soga mbili tatu mi fresh tuu!

Acha weee si ndio nikajua zile stori za kutegana kweli hapa zipo Zee nikipiga jicho kitu ndio kinanilegezea kinoma hadi nikaanza ona so sasa, ila si unajua mi ticha wao na mimi nikakaza kimtindo demu kuona kama sielekei akanyanyuka kama anasepa kuwahi kitu flani akaangusha opena yake kuiokota sasa Zee nikaona hadi vya ndani alafu naye akajisepea nimtasimini kwanza

Kijasho cha supu si unakijua mtu wangu Zee kwa nini kisinitoke hapo...? huku natasimini kitu nikiache au niaribu icho kikarudi tena tokea mbali Zee nakiona kinaweka weka sawa yale mavazi ya kifuani we mtu mzima unayajua tu!! kafika aka kaa tena acha aanze kunipa swagga Zee nikaona hapa huyu simwachi kabisa acha na mimi nikipe swagga kitoto

Leo Zee nimetegeka mtu wangu si unanijua Zee mtu wa nido afu apa zipo gudi!! gudi!! pale pale restaurant Zee nikakamua toto!! kiroho safi mtu wangu
tusomane mida mida mtu wangu ila si unajua michepuko so dili!

0 comments:

Popular Posts