background img

The New Stuff

STORI ZA TOWN!!!__WADAU BURUDANI WAMVAA MWANA FA NI LILE SAKATA LAKE LA KUFANYA SHOW KIFUA WAZI__BOFYA HAPA KUJUA KULIKONI

 

KUTOKA MTANDAONI
Weweeeee!!!! hizo huwa ni kelele za mashabiki wa muziki bongo wakati wasanii wanao wapenda wakiwakosha jukwaani. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa msanii mwanaFA wakati akitumbuiza kile kibao chake cha mfalme live!! jukwaani.

Akionekana mwenye mzuka mkubwa mwanaFA alienda mbali na kutupilia mbali aibu na kubaki kifua wazi apo ndipo chimbuko la hii habari. baada ya wiki takriban moja na Zaidi sasa zimepita huku wadau wa burudani wakimponda msani huyo wamba kama ni maarifa basi hajapewa hayo na mwenyezi Mungu kuingana na kibao chake hico cha mfalme tena wengine wameenda mbali na kusema eti ni show ya utupu!!?

binafsi sikubaliani nao au sipingani nao bado naendelea na utafiti wangu kama Zee nikitoka na majibu nitakupatia na wewe mtu wangu tu share pamoja ila wasanii bongo mfikiri kabla yakutenda nazani itawaepusha na mambo kama haya.

0 comments:

Popular Posts