background img

The New Stuff

KUTOKA MAGAZETINI LEO__MPANGO HARAMU WASUKWA KUMUANGAMIZA DIAMOND PLATNUM__BOFYA HAPA KUHABARIKA ZAIDI


KUTOKA MTANDAONI
Ikiwa ni takribani kutimia mwezi sasa tangu mwanamuziki Diamond Platnum kufanyiwa vurugu na mashbiki wake kwa kile kilichodaiwa ni kushindwa kufika kwa wakati katika onyesho alilokuwa atumbize kwa ajili ya kuwa burudisha mashabiki wake nchni  Ujerumani.

Sasa sakata jingine limemkuta staa huyu wa mdogo mdogo nchni uingereza ambapo yasemekana kuwa huu ni mchakato madhubuti wa kumfelisha mwanamuziki huyu kufikia lengo lake la kuwa msanii wa kimataifa.


Gazeti la leo IJUMAA

0 comments:

Popular Posts