background img

The New Stuff

BREAKING NEWZ!!___CHADEMA MBEYA MASHAKANI, MWENYEKITI ADAIWA KUKIMBILIA ACT-TANZANIA _BOFYA HAPA!! KWA HABARI ZAIDI

DURU ZA SIASA
Habari zinazosambaa kwa kasi huku zikisemekana kuwa ni za weli nasiyo uzushi kama baadhi wanavyosema, baada ya kuendelea kwa vugu vgu la maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema jana kimepata pigo jingine mjini mbeya ikiwa ni siku chache baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho mbeya vijiini Elia Kiolile ametangaza na kujitoa katika chama hicho na kuhamia ACT-Tanzania

Tukio hilo lililo washangaza na kuwashtua wengi lilitokea maeneo ya nane nane mjini mbeya. Akiongelea kuhusu vikosi vya chama hicho alidai kuwa vimekuwa vikijihusisha na vitendo vilivy kijume na demokrasia wanayoihubiri kila siku.

0 comments:

Popular Posts