background img

The New Stuff

KUTOKA MIZENGWENI__MWANAMZIKI LINAH SANGA AVAMIWA NA MAJAMBAZI __BOFYA HAPA KUJUA KULIKONI


NA MWANA KIJIWE
Katika hali iliyowashitua mahabiki na wadau wengiwa muziki bongo ni kile kilichotokea jana katika kipindi cha vichekesho cha Mizengwe kinachorushwa na kituo cha ITV Tanzania saa tatu usiku baada ya taarifa ya habari.

Pale alipoonekana mwanamziki Lina Sanga akiigiza kama mmoja wa abiria waliokuwa ndani ya gari aina ya noah iliyovamiwa na majambazi ambo walichukua pesa na gari hilo

dah!!! adi Lina kawa comedian..? ni miki haulipi au ndio vipaji vingi..?

0 comments:

Popular Posts