background img

The New Stuff

MCHAKATO KATIBA MPYA!!__NI VITA YA MAFAHALI WAWILI ZIZINI..? BOFYA HAPA KUJUA NI AKINA NANI!!

DURU ZA KISIASA
Imekuwa ikielezwa kuanzia mwanzoni mwa mchakato wa kutafutakatiba mpya stori mbali mbali juu ya mgongano wa maslahi ya watu Fulani Fulani nchini, hata mgongano huo ukaanza kudhihirika wazi wazi mara baada ya kuanza kwa bunge maalumu la katiba pale ambapomchakato ulihamishiwa kwenye kamati.

Baada ya kupita kwa kipindi cha kwana cha bunge hilo bado mgongano uka shamir miongoni mwa makundi hasimu sasa likazaliwa kundi lililojiita UKAWA ambalo hili linadai kutetea na kuigania katiba ya wananchi na lile kundi kubwa lililobaki lkiona lisibaki na jina wajube bunge maalumu la katiba sasa likajiita wazalendo.

Hapo ndipo vita vya mafahali wawili zizini (Tanzania) Ukawa na Wazalendo iliposhika kasi na kuziacha nyasi (wananchi) zikiumia huku mafahali hao wakionekana kutokujali kama nyasi hizo ndizo chakula chao hapo baadae (Uchaguzi 2015) wameonekana kuzidi zipuuza suala hilo.

Hivi karibuni inaelezwa kuwa mchungi wa mafahali hao naye anaelezwa kuwalisha vizuri mafahali hao kiasi kwamba wamekuwa na maumbile makubwa yanayomtisha hadi mwenyewe, swali linalobaki ni je ni nani wakuwatenganisha Mafahai hawa.?

Ikumbukwe kuwa mchungi haogopi machungo!

0 comments:

Popular Posts