background img

The New Stuff

MPYA!! KUTOKA U HEARD YA CLOUDS __KIMEBUMA TENA KWA PNC NI BAADA YA KINYOZI KUVURUGA PENZI LAKE NA MKEWE__BI'DADA ALIYA Live!! WARUDIANE MWENYEWE AMWITA MALAYA__BOFYA HAPA KUMSIKILIZA


Msanii PnC ameelezwa uwa katika matatizo mbali mbali sasa akutana na ishu nyingine hii ni kati yake na mpenzi yake anayemtuhumu kuwa ni malaya. Vyanzo vya habari vimebaini kuwepo kwa udanganyifu kwa mwanadada huyo ambaye alikuwa akichepuka na kinyozi na sasa kimebuma. Akiongea na Soudy brown Bi'dada huyo alimuoba PnC warudiane lakini PnC alionesha kutokubali wazi wazi juu ya suala hilo na kubaki mtuhumu mpenzi wake huyo..Bofya link chini kuwasikiliza

0 comments:

Popular Posts