background img

The New Stuff

STORI ZENYE KICK TOWN__DIVA AWAGONGANISHA ZITO NA CRAZY GK' KIMAPENZI__BOFYA HAPA KUPATA NYUZI KAMILI



KUTOKA MTANDAONI
Katika hali ya kile kilichoitwa kujibu mapigo mwanadada Diva wa kipindi cha Ala za Roho clouds radio ameibuka na kudai kuwa mbunge Mheshimiwa  Zito Kabwe ni mumewe halalai kisheria. Akitakwa kutolea ufafanuzi kali yake hiyo Diva alisema amekuwa akiishi na mheshimiwa huyu kwa kipindi cha zaidi ya miei sits ambayo ksheria inampa haki halali ya kuwa mke wa mbunge huyo.

Hali hii ya stori za kuwepo kwa uhusiano kati ya wawli hao imekuja mara ikiwa ni baada ya mbunge huyo kupitia kipindi cha mikasi Eatv kujbu swali l host Salama Jabri juu ya uhusiano wake na mwanadada Diva kwa kusema kuwa Diva ni rafiki tu wala siyo mpenzi wake.



Mheshimiwa Zito akihojiwa kipindi cha Mikasi Eatv pichani



jibu hilo la mheshimiwa lilimpa hasira bi'dada huyo na kumfanya kufunguka mitandaooni kudhihirisha uhusiano wa wawili hao.


Swali la kujiulia ni je nanai kati yawawii hao liyemzunguka mwenzake...?
katika pita pita za mitandaoni wadau mbali mbali wanalizungumzia swala hili katika mitazamo miwili mikuu wakwanza ukiwa ni ule wa mahusiano ya Diva na msanii Crazy GK uliokuwa gumzo miezi kdhaa nyuma huku mwanadada huyo akiwa ndiye mzungumzaji mkuu wa uhusiano huo.

Picha ya pili ni le ya kwelikuwepo kwa uhusiano kati ya Diva na mheshimiwa huyo ila pengine ulivunjika siku nyingi nyuma na kama bado upo basi mwanadada Diva anawachanganya (mchepukono) wote wawili.

Mwanadada Diva pichani

0 comments:

Popular Posts