KUTOKA MTANDAONI
Ni juzi katika viwanja vya leaders club mwanadada gwiji katika tasnia ya uigizaji nchini Blandina Chagula jina lakisanii Johari alisikika akiwaambia shostito wake namna anavyolitamani upya penzi la muigizaji Visent Kigosi ama Ray kwa jina la tasnnia.
Bi'dada huyo ambaye alipata kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mkali huyu wa bongo movie town. "najua Ray ni mtu wakuruka ruka ila kwangu amefika.." alisikiika akijisifu bi'shosti huyo mbele ya rafiki zake viwanja vya leaders club.
Wakati Johari akisema hayo huku nako mwanadada mrembo toka bongo movie Chuchu Hans azidi kujiimarishia ngome yake kwa mkali Ray.
0 comments:
Post a Comment