Msanii kutoka Bongo Movie Aunti Ezekieli maarufu kama Aunti ameingia tena kwenye orodha ya mastaa bongo wanaochepuka na wake ama waume za watu baadhi wakiwa waasanii wenzao
Uchunguzi uliofanywa na na Zee umebaini kuwepo kwa michepuko mingi ndani ya tasnia ya maigizo ndan ya bongo maarufu kama bongo movies.
Kwa taarifa zilizo mezani sasa msanii Aunti Ezekieli shosti mkubwa wa Bi'dada Wema Sepetu na shemeji wa Diamond Platnum, anadaiwa kutoka na mmoja kati ya ma'dancers wa shemeji yake huyo(Diamond)
kutaka kujua ukweli wa mambo Zee nimeutafuta ukweli wa nyuzi hizo na bi'dada mhusika Aunti! Ezi kama nilivyoambiwa na mdau hapa amekiri uhusiano wao na alipo ulizwa juu ya mhusika kuwa ni mume wa mtu amesema hilo yeye hajali tayari ndio kapeda na wanapendana.
Mhusika anayetajwa hapa ni Moze Iyobo dancer maarufu wa Platnum. Moze ambaye ni mume wa mwanadada anayejulikaana kwa jina moja la Mwengy waliojaliwa naye kupata motto mmoja.
0 comments:
Post a Comment