background img

The New Stuff

KUTOKA KIJIWENI NAJUUUUUUTAA!!! __WADADA SOMENI HII SIRI YA MAKALIO YA KICHINA MTAJIFUNZA KITU! __BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


NA MWANA KIJIWE
Nikiwa katika pita pita zangu za kila siku Zee leo nilikuwa pande fulani hivi katikat ya mji ndipo nikapigiwa simu na mwenetu mmoja hivi yuko mitaa ile ile niliyokuwa natembea nahisi huyu jamaa kama aliniona sasa akataka kunishitua tupeane michongo miwili mitatu huku tukijuliana hali.

Kama nilivyokwambia mdau wetu kweli jamaa aliniambia niangalie upande wa kushoto kwangu ile kugeuka tu! mwana nae akawa anapunga mkono kwaiyo nikaweza kumuona haraka na kwa urahisi sasa nikaona yes!!ngoja nimsabahi ndugu yangu huyu.

Alikuwa anaonekana kama mwenye huzuni Fulani hivi lakini nikaona nisianze kwanza kumuuliza masuala hayo wacha tufurahi kwanza kidogo ili hata kama ana majonzi afarijike, Basi tukapiga stori nyingi sana pale maana ilikuwa ni kitambo kidogo toka tupoteana nakumbuk ni Zaidi ya miaka mine hivi hatujaweza kuonana sana sana tunawasiliana kwenye simu tu s unaelewa tena

Huyu ndugu ndio chnzo cha hii simulizi kwa ndugu zangu nyote mnaosoma muda huu kwanza niwape pongezi na heshima kwa kuweza kupenda jifunza kitu kupitia hii safu yetu ya Zee la kijiwe,
bsi huyu ndugu unaambiwa ana mwaka wa tatu sasa kwenye ndoa lakini imekuwa na matukio mengi sana ambayo hata yeye mwenyewe kimsingi haoni ababu ya matukio hayo kutokea.

Hapo ndipo napogundua kumbe ndugu yangu anamasikitko kutokana na ndoa yake kuwa na mushikeli ndipo nikataka kujua tatizo ni nini?

kaka wacha tu!! nina mazito ya kuongea na wewe iliunishauri kitu sababu nakumbuka namna ulivyokuwa ukinishauri mambo mbali mbali hadi leo nina maisha ambayo angalau naweza kubadili magari mawili hapa mjini. Hapo jamaa akanikumbusha mbali kweli kipindi nikiwa Nampa mbinu za kutoka hapa town na kweli akanisikiliza akazifanyia kazi leo na yeye ni bosi hapa mjini hongera sana kwake.

Basi tukatoka hawoo! mpaka hoteli Fulani pale mjin kati akaniuliza natumia nini mimi nikamwambia juisi ya matunda halisi akanicheka kweli akaniuliza vpi siku hizi nimeacha mabo yetu yale maana tulikuwa tunapiga zile show pamoja nikamwabia kaka siku hizi maradhi mengi sana wacha tunywe matunda tu!

Basi tukaanza sakata Zima "kaka nina matatizo sana juu ya shemeji yako yani ni mgonjwa na anatakiwa kupelekwa india kwa matibabu ambayo hata na hivyo yanaweza yasimsaidie kwa chochote kwani hli yake siyo nzuri hata kidogo.." jamaa alianza hivyo kunihadithia nikatamani kujua ni tatizo gani tena hilo ama ni moyo nini?

Unaambiwa "bora ingekua moyo hili ni tatizo ambalo linaonekana dogo sana ila ni kubwa sana muda wake ukifika" hapo nikazidi kuumiza kichwa kulijua hilo tatizo ambalo ama kw hakika litakuwa ni tatizo kubwa kweli kweli. "Kaka dawa za mchina kaka zimemharibu kabisa mke wangu" alivyoniambia hivyo nikajua labda ni hivi vipodoziila si hivyo mwenetu ni zile dawa za kuongeza makalio.

Unaambiwa huyu dada alikuwa ana shepu yake ile ya hasili ila kwa maneno na movie za ulaya akashawishika kuongeza makalio ambapo dawa alizotumia zimemharibu kabisa vuta picha ya mtu ukichoma plastiki inavyojikunja kunja sasa ndiyo makalio ya huyu dada yalivyogeuka na kuwa.

Unaambiwa mwanzoni yani miaka mitano iliyopita alianza  kutumia dawa hizo ambapo kwa madai yake alikuwaanatafuta mume wa kumuoa, haikuwa rahisi kuhisi kama zingeweza kuja kumletea madhara anayoyapata leo.

Kwa mujibu wa ndugu yangu huyu tiyari ameshaanza hadi kuoza na kutoa harufu kali! na bado haijulikani kama atapona ama la!. Nikaona nimuulize rafiki angu huyu kama alikuwa anajua kuwa mkewe anatumia dawa hizo cha ajabu jamaa akanijibu yani alikuwa hajui na laity angekuwa anajua hadhani kama angemuoa.

Kwa kauli yake hiyo Zee nikaingia kijiweni kupiga stori mbili tau na wadau kutaka kujua kama wanapenda wadada wanaotumia kemikali kujiumba wenyewe cha ajabu licha ya wdau kukiri kuwa wanavutiwaga na maumbile hayo ila wamekubali kuwa huwa wanatamanigi tu! na wakishafanya yao wanawatelekeza eti kwa madai kuwa hawawezi kuoa makahaba*. Duh!! kwa madai kuwa wanaojiumba ni wenye hizo tabia.

Kutokana na maoni ya wana kijiwe na simulizi ya ndugu yangu huyo nikaona si vibaya na wewe kama mdau kupata hili somo hususa kwa nyie ndugu zangu wakike. TAFAKARI!!

Asanteni na siku njema

0 comments:

Popular Posts