MICHAKATONI
Kutokea michakaton unaambiwa Zee nikatumiwa hii video na mwenetu embu ndio uniambie sasa kwanini zile divisheni 5 na 0 zisiongezeke mara dufu..?
Video yenyewe ndiyo hii hapa waswahili walisema samaki mkunje angali mbichi! shuhudia wadogo au hata watoto zako wanachokifanya skonga hapa balaa tupu!
wenyewe wadai wameichoka shule wanataka kuolewa wazae alafu watulie makwao, umenisoma hapo mwenetu ujue hili nesheni linakoelekea siyo kabisa
0 comments:
Post a Comment