background img

The New Stuff

KUTOKA MITANDAONI ___ PICHA ZENYE ISHARA ZA DIAMOND KUJIUNGA NA DINI YA KISHETANI ZAVUMA MTANDAONI __BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAKE ZENYE ISHARA HIZO


KUTOKA MTANDAONI
Lile sakata la kuwepo kwa dini ya kishetani bongo lazidi kupamba moto kwa msanii Diamond Platnum hii ikiwa ni baada ya picha za utata za msanii huyu zikionesha ishara zinazodaiwa kutumiwa na waumini wa dini hizo

Chombo chetu mjini kimeweza kuzinasa baadhi ya pichahizo huku baadhi akiwa na watu kutoka mataifa ya ulaya huku nyingine akiwa kwenye magari ya kifahari ambayo yanaaminika kutumiwa sana na waumini wa dini hiyo










0 comments:

Popular Posts