KUTOKA RUNINGANI
Katika kipindi cha kipima joto TIV leo imeelezwa kuwa ni kosa la jinai kutumia mitandao vibaya kama makosa mengine, mablogger na wasanii wahaswa kuwa mfano bora katika matumizi sahihi ya mitandao. Kampeni ya 'futa delete kabisa' yahamasishwa upya kwa watumiaji mitandao ya kijamii. Yaelezwa haina maana kuwa na zaidi ya rafiki elfu tano wasio na faida mtandaoni.Saidia jamii kwa kukemea maovu mitandaoni.
0 comments:
Post a Comment