BREAKING NEWZ!!!__KEYS' HOTEL MOSHI YANUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO__BOFYA HAPA KUPATA TAARIFA ZAIDI
BREAKING NEWZ
Hotel ya kitalii inayomilikiwa na mbunge wa Moshi mjini mheshiwa Ndesa Mburo (Chadema) imenusurika kuteketea kwa moto mchana wa leo moto unaosemekana kuanzia kwenye moja ya miti aina ya minazi iliyoko hotelini hapo.
Chanzo kamili cha moto huo bado hakijaeleweka bayana japo taarifa za awali zinasema huwenda umesababishwa na hoti ya umeme.
0 comments:
Post a Comment