JE UNAUFAHAMU MTANDAO WA MICHEPUKO MASTAA WA BONGO__? DIAMOND, WEMA, AUNT EZIE NA KAJALA WATAJWA NDANI__BOFYA HAPA KUPATA FUNUNU KAMILI
Mitandao ya Ngono yawapa kick mastaa wa bongo movie na bongo fleva
pichani ni baadhi ya mastaa wanaotajwa kuwemo katika mitandao hiyo
Ikiwa kama kauli mbiu juu ya udhibiti wa kusamba na kuenea kwa virus vya ukimwi Tz ACHA MICHEPUKO BAKI NJIA KUU imeonekana kuto kueleweka miongoni mwa wasanii bongo movie na bongo fleva ambao wametajwa na kulalamikiwa kwa kuwa wakali wa michepuko na mitandao ya ngono. Kivipi sasa ni wadau wakuu cheki huu mtandao waku ngonoka wa mastaa
Aunti Eziekiel Atoka na Moze Iyobo dancer wa Diamond platinum
Ikumbukwe kuwa Bi'dada Eziekiel ni mke wa mtu kwa sasa ila kaamua kuchepuka na dancer huyu mwenye kipaji cha hali ya juu ambaye pia inasemekana kuwa ana mke na motto
Mtandao umeenda mbali hadi kwa mkali Diamond platinum ambaye amekuwa kwenye mtandao kwa muda mrefu sasa ikikumbukwa aliwahi kuwa na Bi'dada Penny akuwa mbali na Joketi Kidoti na mwanadada Wema sepetu.
Huku hali sio shwari Esma ndugu wa Platnum aingizwa kwenye mtandao kama filamu yakuigiza ikitakiwa aolewe na Petit man ambaye naye alikuwa akichepuka na bi'dada Wema, je wajua hilo...?
Huku hali ya mumewe ikizidi kuwa mbaya Kajala ama 'Kay' ikumbukwe kuwa na yeye alishawahi kuchepuka na toto ya wema petit man.
Huu ndio mtandao hatari wa ngono zaid kwa mastaa wa bongo
0 comments:
Post a Comment